Jipu ndani ya ubongo (Grace G.R)

In stock
SKU
SPBK124
TZS26,100.00
Ni kitabu chenye simulizi za kweli
JIPU NDANI YA UBONGO kueleza kwa kirefu juu ya uzoefu wangu wa uvimbe mkubwa niliokuwa nao kwenye ubongo, jinsi ulivyoniathiri, matibabu yake na uponyaji wake, lengo likiwa kuelimisha jamii kuhusiana na afya zao hasa kwa magonjwa makubwa na ya hatari, na kuwatia moyo wale waliopata matatizo yenye kukatisha tamaa kuwa yupo Mungu awezaye kufanya yaliyoshindikana kwa wanadamu
More Information
3rd Party Product Yes
Color Black
Size N/A
Size N/A
Write Your Own Review
You're reviewing:Jipu ndani ya ubongo (Grace G.R)